ANZA KUTUMIA
Pata anwani maalum ya barua pepe na mengine mengi ukiwa na Gmail ya kazi 
Pata anwani maalum ya barua pepe na mengine mengi ukiwa na Gmail ya kazi 
ANZA KUTUMIA
Tumia Gmail uipendayo - kwa ajili ya biashara 
Tumia Gmail uipendayo - kwa ajili ya biashara 
Pata anwani maalum ya barua pepe @kampuniyako.com inayojumuisha kalenda, hati, mikutano ya video na mengine mengi pamoja na uwezo wa kufikia kwenye simu yako au kompyuta kibao. 
Pata anwani maalum ya barua pepe @kampuniyako.com inayojumuisha kalenda, hati, mikutano ya video na mengine mengi pamoja na uwezo wa kufikia kwenye simu yako au kompyuta kibao. 
Pata anwani maalum ya barua pepe
Fanya anwani za barua pepe ziwe upendavyo kwa kupata anwani zenye jina la kikoa chako. Wapatie unaofanya kazi nao anwani za barua pepe kama vile juma@kampuniyako.com
Fanya kazi ukiwa popote
Sawazisha na upate barua pepe zako ukitumia simu ya mkononi au kompyuta kibao yako. Gmail hufanya kazi kwenye Android, iPhone, Blackberry na vifaa vingine.
Pata Usaidizi Wakati Wowote
Ukiwa na G Suite, unapata usaidizi wa saa 24 kila siku kupitia simu na barua pepe.
Ni zaidi ya barua pepe tu
Anzisha Hangout ya video inayowashirikisha hadi watu 15 moja kwa moja kwenye kikasha chako.