Nenda kwenye programu ya Picha kwenye Google

Picha kwenye Google

Hifadhi isiyolipiwa na kupangwa kiotomatiki kwa picha zako zote.

Tumehifadhi nakala za picha zako

Hifadhi picha na video bila kikomo zenye HD ya hadi 1080P na MP16 bila malipo. Zifikie kupitia simu, kompyuta kibao au kompyuta yoyote kwenye photos.google.com. Picha zako zitakuwa salama na utazipata popote ulipo.

Pata picha zako haraka

Picha zako zimepangwa na zinaweza kutafutwa kwa kutumia maeneo na vitu vilivyo ndani yake. Huhitaji kuweka lebo. Tafuta tu "mbwa" ili upate picha zote za mbwa wako.

Jikumbushe kuhusu matukio yako mengi

Usiwe na wasiwasi kuhusu kuishiwa na nafasi kwenye simu yako tena. Unaweza kuondoa picha ambazo zimehifadhiwa nakala kwenye hifadhi ya kifaa chako haraka.

Picha zote zimewekwa pamoja

Weka pamoja picha za familia na marafiki ukitumia albamu zilizoshirikiwa. Kwa hivyo, utapata matukio yote kwenye kifaa chochote.

Pakua programu ya picha inayotimiza mahitaji yako

Programu bora zaidi ya picha ulimwenguni
The Verge
Picha kwenye Google ni programu mpya ya kuhifadhi picha
Wired
Ijaribu programu ya Picha kwenye Google Pata programu ya Picha kwenye Google