Furahia Gmail kwenye kifaa chochote

Urahisi na wepesi wa Gmail, popote ulipo.

Google Gmail

Panga mambo yako papo hapo

Angalia barua pepe mpya kwa muhtasari na uamue unachotaka kusoma na kujibu.

Panga mambo yako papo hapo
Panga mambo yako papo hapo

Usisahau kufanya chochote

Pata vidokezo vinavyokukumbusha ufuatilie na ujibu barua pepe, ili chochote kisiponyoke bila kushughulikiwa.

Usisahau kufanya chochote
Usisahau kufanya chochote

Chukua hatua ukiwa kwenye kikasha chako

Angalia viambatisho, jibu mialiko ya matukio, ahirisha barua pepe na mengine mengi bila kufungua barua pepe zozote.

Chukua hatua ukiwa kwenye kikasha chako
Chukua hatua ukiwa kwenye kikasha chako
Epuka barua pepe za kutiliwa shaka
Epuka barua pepe za kutiliwa shaka

Epuka barua pepe za kutiliwa shaka

Gmail huzuia asilimia 99.9 ya barua pepe hatari kabla zikufikie. Ikiwa tutashuku barua pepe inalenga kukuibia data binafsi, utapokea arifa ya kukuonya.